1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papa Francis aendeleza wito wa amani Sudan Kusini

3 Februari 2023

Wasudan Kusini wampokea kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anaetumai kuhimiza mchakato wa amani uliokwama kwa taifa hilo changa zaidi duniani.

https://p.dw.com/p/4N4Td