1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Padri Andri azungumzia unyanyasaji wa kingono kanisani

Sylvia Mwehozi5 Oktoba 2021

Ripoti imefichua kuwa watoto zaidi ya 300,000 wamekuwa wakinyanyaswa kingono katika kanisa Katoliki la Ufaransa kwa zaidi ya miaka 70 iliyopita. Hii si ripoti ya kwanza kwa ripoti kama hiyo. Je mapadri wenyewe wanazungumziaje kadhia hiyo? Sylvia Mwehozi amemhoji Padri Andri Masingenda, naibu katibu mkuu wa kongamano la maaskofu wa katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

https://p.dw.com/p/41Idc