1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ongezeko la chuki dhidi ya Waislamu kutokana na vita vya Gaza

14 Desemba 2023

Vita huko Gaza vimekuwa na athari hadi nje ya mipaka ya eneo la Mashariki ya Kati. Miongoni mwa athari hizo ni chuki dhidi ya Waislamu sehemu mbalimbali duniani hususan barani Ulaya. Waislamu wamekuwa wakiishi kwa hofu kutokana na vitendo vya chuki dhidi yao kuongezeka.

https://p.dw.com/p/4aA8l