Ongezeko la ′anaemia′ kwa wakaazi wa Igunga Tanzania | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 24.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Ongezeko la 'anaemia' kwa wakaazi wa Igunga Tanzania

Makala ya Afya Yako safari hii inaangazia tatizo la upungufu wa damu kwa lugha ya kitaalam ni 'Anaemia'. Je chanzo chake ni gani? Unapaswa kufanya nini kujikinga au kukabili tatizo hilo? Je ugonjwa huo hutibiwa na kupona? Ungana na Hawa Bihoga kwa maelezo zaidi.

Sikiliza sauti 09:49