SiasaNywele za Kiafrika zapambana na ubaguziTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa30.03.201730 Machi 2017Esther Donkor ni raia wa Ujerumani anayeliongoza vuguvugu linalopigania watu kuwa na nywele zao za asili bila kujisikia wanafanya makosa wala kuwa na hisia kwamba hawafai.https://p.dw.com/p/2aLJjMatangazo