Nusu ya watu ulimwenguni wanatumia intaneti | Media Center | DW | 18.12.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Nusu ya watu ulimwenguni wanatumia intaneti

Mwaka huu wa 2018 unatajwa kwamba umekuwa na mabadiliko makubwa katika matumizi ya intaneti. Zaidi ya nusu ya watu duniani kote watakuwa na uwezo wa kutumia intaneti ifikapo mwishoni mwa mwaka huu

Sikiliza sauti 09:44