1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nicolas Sarkozy ahukumiwa kifungo cha miaka 3 jela

1 Machi 2021

Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy amehukumiwa na mahakama ya mjini Paris kifungo cha miaka mitatu. Atatumikia mwaka mmoja akiwa gerezani na miaka miwili akiwa nyumbani. Ni kutokana na mashtaka ya rushwa yaliyomkabili. Mchambuzi wa siasa Ahmed Rajab akiwa London amezungumza na John Juma, kwanza anaelezea uzito wa uamuzi huo.

https://p.dw.com/p/3q4BK