1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni lazima uwe na fedha nyingi ili upate lishe bora?

18 Oktoba 2021

Ukosefu wa elimu kuhusu lishe bora umekuwa changamoto kwa wengi. Wapo wanaoamini kuwa ni lazima mtu awe na fedha nyingi ndipo apate lishe bora na kusahau kwamba hata vyakula vya kawaida vinavyopatikana kwa bei ya chini vikiwemo vya asili vinaweza kuwa chanzo cha lishe bora. Video na Yakub Talib, Dar es salaam, Tanzania.

https://p.dw.com/p/41omx