1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni kwa kiasi gani unalijua tatizo la autism?

1 Novemba 2019

Ugonjwa wa akili wa watoto au tawahudi ama Autism. Unaufahamu kwa kiasi gani ugonjwa huu? Dalili zake na hata namna ya kuishi na mtoto mwenye tatizo hili? Makala hii ya Afya yako ina mengi ya kukueleza kuhusu Autism. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/3SKZU