1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ndege wanaohamahama

Bernard Maranga/ M M T17 Oktoba 2018

Labda umewaona wakipaa kwa wingi wakati mmoja kutoka upande mmoja kuelekea upande mwingine wa dunia. Wazee na hata wataalam watakwambia wanahama kwa sababu fulani mfano mabadiliko ya msimu au majira. Lakini unafahamu nini zaidi kuwahusu ndege wa kuhamahama? Benard Maranga anasimulia zaidi kwenye makala ya Mtu na Mazingira

https://p.dw.com/p/36g9s