1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taji la Bundesliga:Bayern au Dortmund?

17 Mei 2019

Marco Reus anarejea dimbani kupambana na timu yake ya zamani Borussia Moenchengladbach huku Borussia Dortmund ikipania kupata ushindi na kuipiku Bayern Munich kutoroka na taji la Bundesliga msimu huu wa 56. Sikiliza mahojiano kati ya Sylvia Mwehozi na Josephat Charo.

https://p.dw.com/p/3Ifxq