Mzozo wa njaa Sudan Kusini | Media Center | DW | 23.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mzozo wa njaa Sudan Kusini

Tangu mwaka 2013, kumekuwa na vita vibaya vya wenyewe kwa wenyewe Sudan kusini. Nchi ilipopata uhuru baada ya muongo mmoja wa vita, pengo la madaraka limeitumbukiza nchi katika ghasia. Raia wanaendelea kuteseka. Wengi wanakabiliwa na njaa na zaidi ya watoto milioni moja wakikumbwa na utapiamlo huku maeneo mengine yakiwa hayaendeki.

Tazama vidio 01:49