Mwandishi mpekuzi wa Ghana | Anza | DW | 08.09.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Mwandishi mpekuzi wa Ghana

Pale wenye madaraka wanapodhani kwamba wanaweza kufunika ukweli unaowauma, na kisha wakasema ''Ushahidi uko wapi'', Anas Aremeyaw Anas huja na ushahidi huo. Mwandishi mpekuzi huyo amejitolea kupambana na ufisadi na ukiukaji wa haki za binadamu.

Tazama vidio 03:03