1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mvutano wa Tume ya uchaguzi na Lissu, nani yuko sahihi?

Rashid Chilumba29 Septemba 2020

Mvutano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania na mgombea wa urais wa Chadema Tundu Lissu umezusha swali muhimu kuhusu sheria na kanuni zinazoongoza uchaguzi nchini humo. Fulgence Massawe ni mwanasheria kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania anatoa ufafanuzi wa kisheria.

https://p.dw.com/p/3jAvZ