1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtandao wa Afrolynk wahamasisha Waafrika katika teknolojia

Harrison Mwilima21 Oktoba 2019

Waafrika wanaoishi Ujerumani wameanzisha mtandao wa Afrolynk wenye nia ya kuwasaidia wajasiriamali wa Kiafrika walioanzisha biashara zinazotatua matatizo ya jamii zao kwa kutumia teknolojia au njia za kidijitali.

https://p.dw.com/p/3Rf0j

Makala ya Sura ya Ujerumani inaangazia mtandao huo na jinsi gani Waafrika walio nje ya nchi zao na wale waliopo katika bara la Ulaya, wanavyonufaika na harakati hizi.