Mshauri wa Nkurunziza avamiwa | Matukio ya Afrika | DW | 29.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Burundi

Mshauri wa Nkurunziza avamiwa

Willy Nyamitwe, mshauri mkuu wa rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, amelazwa hospitalini baada ya kuponea chupu chupu jaribio la kuuwawa aliposhambuliwa na watu wenye silaha wakati akielekea nyumbani.

Sikiliza sauti 02:36
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Amida Issa kutoka Bujumbura

              

Sauti na Vidio Kuhusu Mada