1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa CHOGM Kigali, Rwanda

24 Juni 2022

Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Madola wamekutana katika Mji Mkuu wa Rwanda, Kigali, kufanya mazungumzo ya jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, magonjwa ya kitropiki kama malaria na changamoto nyengine zilizozidishwa na janga la Covid-19.

https://p.dw.com/p/4DDYe