Mji wa Nairobi | Vijana Mubashara - 77 Asilimia | DW | 17.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Vijana Mubashara - 77 Asilimia

Mji wa Nairobi

Mwanamuziki wa Kenya Octopizzo alikulia katika mtaa wa mabanda wa Kibera, na anajivunia hilo. Anampeleka mwandishi wa habari wa DW katika ziara ya mtaa wake na anaelezea mbona mji wake daima utakuwa sehemu ya utambulisho wake.

Tazama vidio 03:42
Sasa moja kwa moja
dakika (0)