Brexit: Bunge la Uingereza litapiga kura iwapo litaidhinisha mpango wa May wa kujiondoa katika Umoja wa Ulaya kabla ya tarehe 21 Januari mwaka ujao/ COP24/ Wakimbizi wa Syria kurejea nyumbani mwaka ujao/ Mahakama Kuu ya Tanzania imetangaza kuwa itakwenda likizo> Mahojiano/ Kenya: Washukiwa waliokamatwa kuhusiana na kashfa kubwa ya ufisadi wameachiwa leo kwa dhamana ya polisi