1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MICHEZO

9 Septemba 2007
https://p.dw.com/p/CBRX

Ujerumani jana ilipiga hatua karibu zaidi na kutwaa tiketi yake ya finali za kombe la Ulaya la mataifa hapo mwakani nchini Uswisi na Austria baada ya kuilaza wales kwa mabao 2:0-yote yakitiwa na Miroslav klose.

Namibia nayo imekata tiketi yake kwa finali za Kombe la Afrika la mataifa nchini Ghana hapo mwakani baada ya kuilaza dakika ya mwisho Ethiopia mabao 3-2 mjini Addis jana.

Simba wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo walimudu suluhu tu ya bao 1:1 na Libya mjini Kinshasa wsakati,Rwanda iliikomea Liberia mjini Kigali mabao 4:0.

Kenya harambee Stars ilitamba mjini Nairobi kwa mabao 2:1 mbele ya