SiasaAfrikaMiaka 59 ya uhuru wa TanganyikaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaAfrikaSudi Mnette09.12.20209 Desemba 2020Imetimia miaka 59, tangu iliyokuwa Tanganyika, na sasa sehemu ya Tanzania ipate uhuru kutoka kwa mkoloni Uingereza. Mnamo Desemba 9, 1961 taifa hilo lilipata uhuru wake. DW ilizungumza na Profesa Issa Shivji.https://p.dw.com/p/3mT6PMatangazo