Miaka 50 ya Mapambazuko ya Prague | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 28.08.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Miaka 50 ya Mapambazuko ya Prague

Agosti mwaka 1968 askari nusu milioni walioongozwa na vikosi vya vifaru vya Umoja wa Kisoviet waliizima ndoto ya watu wa Chekoslovakia ya kuleta mageuzi ya kisiasa, yaliyoitwa Mapambazuko ya Prague. Nchi hiyo na nyingine za Ulaya Mashariki zilikuwamo katika himaya ya Kisoviet baada ya kumalizika vita vikuu vya pili.

Sikiliza sauti 09:45