1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

MH370

Ndege ya Malaysia yenye nambari za safari 370 ilipotea wakati ikiwa kwenye safari ya kimataifa kutoka Kuala Lumpur kwenda Beijing China, Machi 8, 2014.

Kutoweka kwa ndege hiyo kumekuwa kizungumkuti kwa jumuiya ya kimataifa na hata watalaamu wa usafiri wa ndege, ambao wamefanya kila juhudi kuitafuta ndege hiyo bila mafanikio. Ukura huu unakukusanyia maudhui za karibuni za DW kuhusu ndege ya MH370.