Mfanyabiashara wa Rwanda asiyekata tamaa | Anza | DW | 08.07.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Mfanyabiashara wa Rwanda asiyekata tamaa

Serge Ndekwe ana umri wa miaka 35. Alirejea Rwanda mwaka 1994 akiwa na umri wa miaka 14. Wazazi wake walikuwa wamekimbilia Kongo. Alianza biashara ya simu, akafungua maduka kadhaa ya dawa na leo anamiliki migahawa mitatu.

Tazama vidio 02:57