Mfanyabiashara wa Rwanda asiyekata tamaa | Afrika yasonga mbele | DW | 12.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Mfanyabiashara wa Rwanda asiyekata tamaa

Serge Ndekwe ana umri wa miaka 35. Alirejea Rwanda mwaka 1994 akiwa na umri wa miaka 14. Wazazi wake walikuwa wamekimbilia Kongo. Alianza biashara ya simu, akafungua maduka kadhaa ya dawa na leo anamiliki migahawa mitatu

Tazama vidio 02:57

Mfanyabiashara wa Rwanda asiyekata tamaa

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com