1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara: Nini kinazuia maendeleo ya viwanda Afrika?

Rashid Chilumba3 Desemba 2023

Rashid Chilumba amewaalika kwenye kipindi cha maoni mtunga sera, mchambuzi na mmiliki wa kiwanda katika kipindi cha Maoni mbele ya meza ya duara kujadili changamoto na fursa za sekta ya viwanda barani Afrika. Swali kuu ni iwapo Afrika inasonga mbele au inarudi nyuma kwenye sekta ya viwanda?

https://p.dw.com/p/4Zizr