1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara - Miaka 75 ya Azimio la Haki za Binadamu

Saumu Yusuf15 Desemba 2023

Kipindi cha Maoni Mbele ya Meza ya Duara kimewaalika watetezi wa haki za binadamu kutoka eneo la Afrika Mashariki na Kati kutathmini mafanikio na changamoto za ulinzi wa haki za binadamu mika 75 tangu kuidhinishwa kwa Azimio la Kimataifa la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa. Mwongozaji ni Saumu Mwasimba.

https://p.dw.com/p/4aDlw