1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara - Je, ulimwengu umeshindwa kumaliza migogoro?

Zainab Aziz
5 Januari 2024

Kipindi cha Maoni mbele ya meza ya duara kimewaleta pamoja wachambuzi wa siasa za kimataifa kutathmini kwanini Jumuiya ya Kimataifa inajikokota kutatua migogoro inayoikabili dunia? Tangu mabadiliko ya tabianchi, vita na mengine mengi. Mwenyekiti ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4auCr