1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mesut Özil

Kiungo huyo mzaliwa wa Gelsenkirchen alianza kuichezea klabu ya Bundesliga ya Schalke mwaka 2006 akiwa na umri wa miaka 18. Baadae alihamia Werda Bremen kabla ya kwenda Real Madrid kabla ya kutua Arsenal ya Uingereza.

Tangu alipojiunga na timu ya taifa ya Ujerumani kwa mara ya kwanza mwaka 2009, Mesut Özil amekuwa mmoja wa wachezaji wa kutegemewa zaidi na kocha Joachim Loew. Alicheza michezo yote saba ilioipa Ujerumani ushindi wa kombe la Dunia mwaka 2014 nchini Brazil, na alianza katika kila mechi ya kombe la Ulaya nchini Ufaransa mwaka 2016.

Onesha makala zaidi