Meron atetea haki za wakimbizi wa Eritrea | Afrika yasonga mbele | DW | 02.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Meron atetea haki za wakimbizi wa Eritrea

Meron Estefanos ni mwanaharakati na muandishi habari wa Radio anayeishi nchini Sweden,aliye na asili ya Eritrea. Kwa miaka minne amekuwa akitetea haki za wakimbizi.

Tazama vidio 03:09