Meron atetea haki za wakimbizi wa Eritrea | Afrika yasonga mbele | DW | 08.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Meron atetea haki za wakimbizi wa Eritrea

Meron Estefanos ni mwanaharakati na muandishi habari wa Radio anayeishi nchini Sweden, aliye na asili ya Eritrea. Kwa miaka minne amekuwa akitetea haki za wakimbizi.

Tazama vidio 03:09

Meron atetea haki za wakimbizi wa Eritrea

     

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com