1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Meles Zenawi

Meles Zenawi Asres alikuwa waziri mkuu wa Ethiopia kuanzia 1995 hadi kifo chake 2012. Kuanzia 1989, alikuwa kiongozi wa chama cha ukombozi wa watu wa Tigrayan (TPLF) na kiongozi wa chama cha EPDRF tangu kilipoundwa 1991.

Kabla ya kuwa waziri mkuu 1995, alihudumu kama rais wa serikali ya mpito kuanzia 1991 hadi 1995. Zenawi alifariki dunia Agosti 20, 2012 mjini Brussels, Ubelgiji kutokana na maambukizi kwa mujibu wa maelezo yaliotolewa na serikali wakati huo.

Onesha makala zaidi