1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbiu ya Mnyonge: Wakaazi wa Mtwara walilia fidia

21 Januari 2022

Baadhi ya wakaazi wa kijiji cha Namgogoli na Kisiwa, vilivyopo mkoani Mtwara kusini mwa Tanzania walikusanyika pamoja kujadili juu ya hatma na mustakabali wa malipo yao ya fidia wanayoeleza kuidai serikali kupitia shirika la ugavi wa umeme TANESCO nchini tangu mwaka 2016. Sikiliza makala ya Mbiu ya mnyonge na Salma Mkalibala

https://p.dw.com/p/45sRF