1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazungumzo kati ya Serikali ya DRC na M23 mjini Kampala

7 Februari 2013

Mazungumzo yanayoendelea kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 mjini Kampala jana yalipiga hatua mbele.

https://p.dw.com/p/17a46
Mazungumzo ya Kampala yapiga hatua mbele.
Mazungumzo ya Kampala yapiga hatua mbele.Picha: Reuters

Kufuatia muafaka huo, Daniel Gakuba amezungumza na Julien Paluku, gavana wa mkoa wa Kivu kaskazini ambao umeathirika kwa kiasi kikubwa na vita, na alianza kwa kuelezea namna wakazi wa mkoa huo walivyopokea hatua hiyo iliyofikiwa. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Daniel Gakuba

Mhariri:Abdul-Rahman