1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazungumzo kati ya Serikali ya DRC na M23 mjini Kampala

7 Januari 2013

Wakati huu ambapo macho ya Wakongo yanatizama yatakayoafikiwa katika mazungumzo baina ya wajumbe wa serikali na waasi wa M23 mjini Kampala huko Uganda, mazungumzo ya moja kwa moja bado hayajaanza tena.

https://p.dw.com/p/17F5p
Waasi wa M23
Waasi wa M23Picha: AP

Swali lililopo sasa ni kwamba je, kwanini vikao havijafunguliwa rasmi? Mwenzetu John Kanyunyu anayefuatilia mazungumzo hayo kutoka Kampala anayo ripoti kamili.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri:Yusuf Saumu