1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matumizi mabaya ya Tramadol, kitisho kwa vijana Afrika Magharibi

2 Juni 2021

Tramadol inajulikana kama cocaine ya watu maskini. Tunazuru Liberia na Ivory Coast kukutana na wakala wa dawa hii, mtumiaji na daktari kutuambia ni kwa nini vijana wengi wanaitumia dawa hii ya kupunguza maumivu na kutumbukia katika mazowea hatari.

https://p.dw.com/p/3uMf6