Matumizi mabaya ya ″Facebook″ | Media Center | DW | 09.01.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matumizi mabaya ya "Facebook"

Kumekuwepo na ongezeko la matumizi mabaya ya mitandao na kusababisha athari kubwa. Mtandao wa Facebook nao umekumbwa na dhahama hiyo. Nini kinafanyika sasa, kukabiliana na madhara zaidi Sikiliza makala haya ya Sema Uvume, lakini pia ujifunze kwenda "live" kupitia Twitter.

Sikiliza sauti 09:45