Matibabu ya mapema kwa aliyepata kiharusi | Masuala ya Jamii | DW | 28.01.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Matibabu ya mapema kwa aliyepata kiharusi

Kiharusi kinatokea pale ambapo usambazaji wa damu kuelekea ubongo hauendi vizuri au iwapo damu inavuja ndani ya ubongo. Katika makala ya afya, Amina Abubakar anaangalia tiba kwa aliyepata kiharusi.

Sikiliza sauti 09:44

Sikiliza Afya Yako na Amina Abubakar

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com