Matayarisho ya mchezo wa Karandinga | Media Center | DW | 29.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matayarisho ya mchezo wa Karandinga

Kwa muda mrefu msikilizaji umekua ukifuatilia vipindi vyetu vya noa bongo na karandinga na sasa DW Kiswahili pia tunaendelea kukuletea tamthilia moto moto zenye kuakisi maisha halisi ya jamii yako. Watazame waigizaji wa mchezo mpya wanavyojiandaa wakiwa studio huko jijini Dar es Salaam.

Tazama vidio 02:00