1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili 21.08.2021

SK2 / S02S21 Agosti 2021

Umoja wa Ulaya umesema haulitambui kundi la Taliban na wala hautashiriki nalo mazungumzo ya kisiasa. Maambukizi ya virusi vya corona yameongezeka Ujerumani likishuhudiwa wimbi la nne la janga hilo. Na watu 16 wameuliwa na washambuliaji wenye silaha Niger.

https://p.dw.com/p/3zKFR