Matangazo ya mchana 28.11.2020 | Media Center | DW | 28.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya mchana 28.11.2020

Idadi ya vifo vya corona Ulaya yapindukia 400,000.Iran yasema kuna ushahidi kwamba Israel imehusika na mauaji ya mwanasayansi wake Mohsen Fakhrizadeh. Viongozi wa jumuiya ya SADC wakutana kuijadili suala la ugaidi na usalama Msumbiji.

Sikiliza sauti 60:00