Maandamano makubwa yanatarajiwa kufanyika Belarus wakati rais Alexander Lukashenko akiamuru jeshi kuilinda nchi, Ujumbe wa Mataifa ya Magharibi una matumaini ya utulivu baada ya kukutana na wanajeshi walioasi Mali na visa vya maambukizi ya virusi vya corona vyapindukia milioni 3 nchini India.