Matangazo ya mchana 16.11.2019 | Media Center | DW | 16.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya mchana 16.11.2019

Israel yaishambulia Hamas baada ya makombora mawili kurushwa kutoka Gaza. Balozi wa zamani wa Marekani nchini Ukraine Marie Yovanovitch ametoa ushahidi dhidi ya Trump. Na, raia wa kawaida 14 wauawa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwenye mashambulizi ya kulipiza kisasi.

Sikiliza sauti 59:59