1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 10.10.2021

SK2 / S02S10 Oktoba 2021

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel akutana na waziri mkuu Naftali Bennet katika ziara yake ya mwisho nchini Israel.Kansela wa Austria Sebastian Kurz ajiuzulu kwa kashfa ya rushwa. Na raia wa Iraq wanapiga kura leo ya kulichagua bunge jipya.

https://p.dw.com/p/41UTV