1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 29.11.2020

29 Novemba 2020

Makombora kutoka Tigray Ethiopia yameulenga mji mkuu wa Eritrea, Asmara saa kadhaa baada ya Abiy Ahmed kutangaza kumalizika kwa operesheni ya kijeshi katika eneo hilo, Uingereza yasema mazungumzo ya kibiashara na Umoja wa Ulaya yako katika wiki yake ya mwisho Na Uturuki yalaani mauaji ya Mwanasayansi wa Iran Mohsen Fakhrizadeh

https://p.dw.com/p/3lz9g