1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 28.11.20

SK2 / S02S28 Novemba 2020

Jeshi la Ethiopia limeanza kuushambulia mji wa Mekele katika jimbo la Tigray. Kiongozi mkuu wa kidini Iran Ayatollah Ali Khamenei ametoa wito wa kuadhibiwa wale waliomuuwa mwanasayansi Mohsen Fakhrizadeh. Na shirika la Afya Duniani WHO limeonya hanjo isitarajiwe kutokomeza kabisa virusi vya corona.

https://p.dw.com/p/3lxgn