Matangazo ya Jioni 28.02.2021 | Media Center | DW | 28.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Jioni 28.02.2021

Watu 18 wauawa katika siku mbaya ya umwagaji damu Myanmar, Navalny kuanza kutumikia kifungo chake katika jimbo la Vladimir na Ufaransa yazungumza na Ujerumani kuhusu vizuizi vya usafiri vilivyotangazwa na Ujerumani baada ya wasiwasi wa kusambaa kwa ugonjwa wa COVID 19 katika eneo la ufaransa la Moselle.

Sikiliza sauti 60:00