Matangazo ya Jioni 24.05.2020 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 24.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Matangazo ya Jioni 24.05.2020

Maelfu ya wakaazi wa mji wa Hong Kong waandamana kupinga mswada wa sheria kali juu ya usalama wa taifa uliopendekezwa na China, wafilipino waonywa dhidi ya matumizi ya sindano za dawa ya Fabunan inayodaiwa kutibu corona na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netayahu afika mahakamani kusikiliza kesi ya rushwa inayomkabili.

Sikiliza sauti 60:00