Matangazo ya Jioni: 21.05.2022 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 21.05.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Matangazo ya Jioni: 21.05.2022

Biden aidhinisha mpango wa mabilioni ya dola kuisaidia Ukraine. Marekani na Korea Kusini zasema huenda zitatanua luteka yao ya kijeshi. Waziri mkuu wa Australia akubali kushindwa katika uchaguzi