Somalia ipo tayari kwa mazungumzo kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Haki ya Kimataifa ICJ/ WHO kuzindua uchunguzi wa madai ya ngono DRC/ Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi amempongeza mshindi wa tuzo ya Nobel/ IMF: Uchumi wa dunia unakuwa kwa kasi ndogo/ Umoja wa Ulaya unatoa mapendekezo ya jinsi ya kukabiliana na changamoto ya uwanachama wa Ireland ya kaskazini